KOZI ZA BURE

Jifunze Uandishi wa Vitabu Sasa!

Bila gharama, jifunze sasa jinsi ya

kuandika na kuuza vitabu

brass quilt pen

Kila siku tuna wanafunzi wapya kuwa mmoja wao leo na uanze kusoma

Unaweza kuwa mwandishi wa vitabu?

Ndio! inawezekana. Jiunge sasa kwenye kozi zetu za bure na ujifunze jisni ya kuandika kitabu.

Safari ya kuandika kitabu inakuwa rahisi kama utajifunza kwenye kozi zetu na kupata maarifa sahihi ya kukusaidia kuwa mwandishi mzuri.

Si hivyo tu, tutakufundisha na jinsi ya kuuza vitabu vyako na kufanya uandishi sehemu ya kupata kipato.

Jifunze Uandishi wa Vitabu Sasa!

Bila gharama, jifunze sasa jinsi ya kuandika na kuuza vitabu

    Tunaheshimu faragha yako. Baruapepe yako ni kwa matumiz ya kuwasiliana na wewe tu